Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa,,. Dkt. Augustine Mahiga (kulia), akimsikiliza Rais wa
Mahakama ya Afrika Jaji Mstaafu,. Augustino Ramadhani alipofika
kumtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa
Waziri. Pia kuzungumzia masuala mbalimbali yanayoihusu Mahakama hiyo
likiwemo suala la ujenzi wa Mahakama hiyo katika Jiji la Arusha
Waziri Mahiga na mgeni wake Rais wa
Mahakama ya Afrika Jaji Augustine Ramadhani wakiendelea na mazungumzo
hayo wakiwa na maafisa wa wizara ya
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269