Breaking News

Your Ad Spot

Jan 9, 2016

WAZIRI CHARLES MWIJAGE ATEMBELEA KIWANDA CHA BIA TANZANIA, TBL, JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa Viwanda na Biashara  Charles Mwijage, akisisitiza jambo kwa viongozi wakuu wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) wakati alipofanya ziara ya kikazi katika kiwanda hicho Januari 8, 2016 Dar es Salaam,  Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Roberto Jorrin,  watatu kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa Maendeleo wizara ya Viwanda na Bishara,  Obadia Nyagira, Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) Calvin Martin  (wapili kulia ) na Kushoto ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Gavin Vanwjil.

Waziri wa viwanda na  Bishara Charles Mwijage  (kulia  ) akifafanua jambo kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Roberto Jorrin

Waziri wa Viwanda na Biashara  Charles Mwijage akimsikiliza kwa makini  Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) Calvin Martin, wakati alipokuwa akimuelezea shughuli zinazofanywa katika kiwanda hicho wakati alipofanya ziara ya kikazi kiwandani hapo jijini Dar es Salaam

Waziri wa Viwanda na  Bishara Charles Mwijage  (kulia  ) akimsikiliza kwa makini  Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Roberto Jorrin

Waziri wa viwanda na  Bishara Charles Mwijage  (kulia  ) akifafanua jambo kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Roberto Jorrin


Waziri wa viwanda na  Bishara Charles Mwijage  (kulia  ) akimsikilza kwa makini  meneja uzalishaji  wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Mecky Mlay (kushoto), alipokuwa akimfafanulia jambo kuhusiana na uzalishaji wa bia wakati waziri huyo alipofanya ziara ya kikazi kwenye  kiwanda hicho jijini Dar es Salaam Januari 8, 2016



Waziri wa Viwanda na  Bishara Charles Mwijage  (wapili kushoto) akiongea jambo alipokutana na uongozi wa TBL, kwenye ziara yake


 Waziri akiongea na waandishi wa habari baada ya ziara hiyo
Waziri Mwijagekatika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa TBL

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages