Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Balozi wa Tanzania nchini, Japhet
Isaack zawadi ya kinyago cha pundamilia ili atakapoondoka nchini
abaki na kumbukumbu ya wanyamapori ambao nimuhimu kwa utalii hapa
nchini. Balozi huyo alikwenda Ofisini kw Waziri Mkuu jijini Dares salaam kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na balozi wa nchini kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini
Dar es salaam 
Waziri Mkuu,Kassim
Majaliwa akisalimiana na balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Pekka
Hukka kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269