Breaking News

Your Ad Spot

Feb 27, 2016


KATIBU mkuu wa UEFA, Gianni Infantino, (pichani) amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Kandanda Duniani, FIFA.

Katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita, Infantino anachukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Rais aliyeng’olewa madarakani kwa kashfa ya rushwa Sepp Blatter

Katibu huyo mkuu wa UEFA, ameshinda katika raundi ya bpili baada ya wanachama 207 wa FIFA walioshiriki kwenye uchaguzi huo.
Infantino alipata kura 115 ya kura zote zilizopigwa kwenye raundi ya pili ya uchaguzi huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages