Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisuniri kuvalishwa skafu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo. Kushoto ni Mama Salma Kikwete. na Kulia ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Singida Mary Maziku na Katibu wa NEC Itukadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Kikwete akipokea salama za Chipukizi wa CCM
Chipukizi wakieda kumvalisha skafu Mweyekiti wa CCM Kikwete
Chipukizi wakimvalisha Skafu Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Kulia ni Nape
Kijana wa Chipukuizi akionyesha ukakamavu wake baada ya kumkaribisha Singida, Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akienda katika Ofisi ya CCM mkoa wa Singida, akiwa na Mkewe Mama Salma Kikwete, Nape na Mary Maziku
Kikwete akiwasalimia wananchi waliokuwepo nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Singida
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda ngazi kuingia Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoawa Singida
Jk akiigia ukumbini
Jk akisaaini vitabu vya wageni
Mama Salma Kikwete akisaini vitabu vya wageni
Msaidizi Maalum wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete katika masuala ya siasa, Martine Shigella akiwa na Mjumbe wa NEC wa Singida Mjini Mazala
Jk akimsalimia Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM kimkoa wa Singida Martha Mlata
Jk akizungumza na baadhi ya viongozi waliomkaribisha Ofisi ya CCM mkoa wa Singida baada ya kusaini vitabu
Kina mama wakitumbuiza kwa ngoma kumlaki Kikwete Ofisi ya CCM mkoa wa Singida
JK akitoka ndani ya ofisi ya CCM
JK akisalimiana na baadhi ya wananchi waliokuwa nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Singida
Jk akiwasalimia wauza dawa za tiba za asili nje ya ofisi ya CCM mkoa wa Singida
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akionyesha jengo lililokuwa Ofisi ya TANU mkoa wa Singida miaka ya 75 akiwa katibu msaidizi wa TANU wa wilaya
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipiga picha na mke wake Mama Salma Kikwete, leo, mbele ya nyumba ambamoishi mjii Singida mwaka 1975, wakati huo akiwa katibu Msaidizi wa TANU wilaya ya Singida mjini. Kikwete yupo mkoani Singida kwa ajili ya kuongoza Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM, abayo kilele chake kitaifa ni kesho
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269