Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) na
Baadhi
ya viongozi wa dini ya Kikristo na ya Kiislamu wanaounda kamati ya
Amani walipofika katika Hopisitali ya Taifa Muhimbili kumjulia baada ya
kupata ruhusa kutoka katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCT)
ambapo alianza kwa kumshukuru
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Dk. John Pombe Magufuli akimwagiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu afikishe salamu hizo na kwa Waziri
Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa na pamoja na wote waliofika kumjulia
hali na mungu awaongoze na Rais awaangalie madaktari kwa jicho la tatu
na awaongezee uwezo, hayo yalizungumzwa na mufti wakati waziri huyo
alizipofika kwa niaba ya Serikali na kuahidi salamu hizo zitamfikia Rais Magufuli. mwisho mufti aliwashukuru waandishi wa habari kwa wao kufika mara kwa mara kumjulia hali (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCT) akimkaribisha
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy
Mwalimu kwaniaba ya Serikali kwa kuzungumza na waandishi wa habari na
viongozi wa kidini
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (katikati) akiwa na wenzake waliofika kumjulia hali Mufti
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila akisoma maelezo kwa niamba ya familia ya Mufti
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269