Breaking News

Your Ad Spot

Feb 2, 2016

RAIS . DKT MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JAJI DAMIAN LUBUVA

 Rais   Dkt.  Magufuli akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo . Ramadhan Kailima.
 Rais  Dkt.  Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais  Dkt.  Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages