Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba amefanya ziara ya Kushtukiza saa saba usiku wa kuamikia leo katika Machinjio ya Ukonga Mazizi.
Katika ziara hiyo, Waziri Nchemba
amekamata ng’ombe 200 wakiwa wanaingizwa kwenye machinjio bila kibali
halali, na kati yao ni ng’ombe 20 tu ndo walikuwa na kibali cha
kuchinjwa, hivyo ushuru wa ng’ombe 180 ulikuwa unatafunwa na
watumishi waovu.
Baada ya kubaini hali hiyo,Waziri
Nchemba ameufukuza uongozi wote wa machinjio hayo na kuagiza
vyombo vya dola viwakamate viongozi wote waliohusika na
kuwafikisha mahakamani.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269