 |
Baadhi
ya maaskofu kutoka makanisa mbalimbali Mkoani Mbeya wakiwa wamshika
Picha ya Rais na ramani ya Tanzania wakati wa maombi maalum ya
kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli na serikali yake katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mkapa jijini
Mbeya. |
 |
Picha
ya Rais Dkt John Pombe Magufuli ikiwa imeshikwa na maaskofu wa makanisa
mbalimbali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kufanya maombi maalumu kwa ajili
ya rais na serikali yake katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya . |
 |
Muongozaji
Mkuu wa Maombi ya kumwombea Rais Dkt John Pombe Magufuli ,Askofu Dkt
Charles Gadi wa kanisa la The City of refuge Church yenye makao makuu
jijini Dar es salaam akizungumza na waumini walioshiriki katika maombi
hayo katika ukumbi wa Mkapa . |
 |
Askofu
Dkt Charles Gadi wa kanisa la The City of refuge Church yenye makao
makuu jijini Dar es salaam akizungumza na waumini walioshiriki katika
maombi ya kumwombea Rais Dkt John Pombe Magufuli na serikali yake
katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya March 8 mwaka huu. . |
 |
Baadhi
ya waumini walioshiriki Maombi Maalum ya Kumwombea Rais Dkt John Pombe
Magufuli na serikali yake yaliyoandaliwa na Jukwaa la wakristo Mkoani
Mbeya kwa kushirikiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la The City of refuge
Church Dkt Charles Gadi katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya March 8
mwaka huu. |
 |
Baadhi
ya maaskofu na waumini kutoka jukwaa la Wakristo Mkoa wa Mbeya wakiwa
katika maombi maalumu ya kumwombea Rais Dkt John Pombe Magufuli na
serikali yake katika ukumbi wa Mkapa jijni Mbeya Machi 8 mwaka huu na
kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali mkoani humo. |
 |
kwaya
zikiendelea kutumbuiza katika maombi hayo ya kumwombea Rais Dkt John
Pombe Magufuli na serikali yake katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya
Machi 8 mwaka huu. |
 |
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa kushoto pamoja na Askofu Charles
Gadi mwenye miwani wakiwa katika maombi maalum ya kumwombea Rais Dkt
John Pombe Magufuli na serikali yake katika ukumbi wa Mkapa jijini
Mbeya. |
 |
Maombi yakiendelea…. |
 |
Baadhi
ya viongozi wa makanisa mbalimbali mkoani mbeya wakiwa katika maombi
maalumu ya kumwombea Rais Dkt Maguli na serikali yake . |
Picha na Jamiimojablogu Mbeya…..
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269