Breaking News

Your Ad Spot

Mar 24, 2016

MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA NJOMBE, SARAH DUMBA, KIGAMBONI DAR ES SALAAM

 Waziri katika  Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene akizungumza kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sarah Dumba  katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Magogoni Kigamboni Dar es Salaam.  

Mkuu wa Wilaya Longido Mkoa wa Arusha, Ernest Kahindi, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu  Sarah Dumba
 Mwili wa Sarah Dumba ukiingizwa kanisani

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke  Sophia Mjema (wa kwanza kushoto) akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Sarah Dumba, anayefuata ni  Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dk. Rehema Nchimbi na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Betty Mkwassa

 Baba mzazi wa marehemu Sarah Dumba, Mzee Philip Dumba akitoa heshima za mwisho kwa mwanaye.
























No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages