Imethibitika
kuwa Radio Station ijulikanayo kwa jina la LAKE FM ya Jijini Mwanza
inatarajia kuanza kuruka hewani rasmi kupitia 102.5 kuanzia wiki ijayo.
Redio mpya ya wananzengo Mkoa wa Mwanza itakua
hewani rasmi kuanzia jumatatu wiki ijayo Machi 14, 2016.
Tunaposema Raha ya rock city
unaelewa nini? Follow @lakefm_mwanza kucomment ili tujue mapokeo yako.
#LakeFM
#RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269