Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto), wakipongezana Mara baada ya kutiliana saini makubaliano ya usafiri wa anga baina ya nchi hizo mbili jijini Dar es Salaam leo Machi 29, 2016.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) wakielekezwa na wanasheria wao jinsi ya kusaini hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) wakibadilishana hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) wakati wa hafla ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, jijini Dar es Salaam, leo
Baadhi ya maofisa wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakimsikiliza kwa makini waziri wa wizara hiyo Profesa Makame Mbarawa wapili (kutoka kushoto) wakati wa hafla ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania, jijini Dar es Salaam, leo
Baadhi ya wadau wa masuala ya usafiri wa Anga wakiwa katika hafla ya utilianaji saini ya makubariano ya usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Nchi ya Kuwait.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wapili kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait Mhandisi Yousef Al Fozan , (kushoto) aliyeongozana na maofisa wake wakati walipowasili ofisini kwake jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya kati wa Wizara hiyo,Balozi Abdallah Kilima na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ua Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait Mhandisi Yousef Al Fozan , wakipongeza na mara baada ya kutiliana makubakliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269