Breaking News

Your Ad Spot

Mar 17, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA CHATO, AHUTUBIA WANANCHI KATORO

Wasani wa Katoro Geita wakicheza ngoma ya Kisukuma wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo  Machi 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waizri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua mtambo wa kukamu mafuta ya alzeti  wanaushishirika wa Chato akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Machi 17, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa  Ushirika huo Elias Kaswahili
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara katika mji wa Katoro , Geita

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages