Breaking News

Your Ad Spot

Apr 1, 2016

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM RAJAB LUHWAVI AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA CCM MIKOA YA NJOMBE NA RUVUMA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akiwasili ukumbini na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kwa jina la 'Jah Peole' kuzungumza na viongozi na watumishi wa Chama Cha Mapinduzi kutoka mkoa huo na mkoa wa Rumuma leo mkoani Njombe
 Baadhi ya viongozi wa CCM kutoka mkoa wa Ruvuma, wakiwa kwenye kikao hicho cha viongozi, watumishi wa CCM na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhwavi kilichofanyika leo mkoani Njombe. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Verena Shumbusho.
 Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
  Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
  Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
 Katibu wa CCM mkoa wa Njombe, Osea Mbagike akifanya utambulisho wa waalikwa kwenye kikao cha viongozi, watumishi wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Njombe na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi (katikati) kilichofanyika leo mjini Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa huo, Deo Sanga.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha Wageni kabla ya kikao chake na viongozi na watumishi wa CCM le katika mkoa wa Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa mkoa huo Deo Sanga
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe, Deo Sanga akifungua kikao cha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Rajab Luhwavi na viongozi na watumishi wa Chama wa mkoa huo leo
 Deo Sanga akimkaribisha  Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi kuzungumza katika kikao hicho
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akimshukuru Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga baada ya kfungua kikao hicho
 Luhwavi akifuatana na Sanga baada ya kikao hicho kufunguliwa
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akiwa katika picha ya pamoja na Deo Sanga na katibu wa mkoa kabla ya sanga kuondoka baada ya kufungua kikao hicho
 Wajumbe wakiwa tayari kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi kwenye kikao hicho
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhwavi akizungumza na viongozi na watumishi wa CCM katika kikao chake maalum cha kuzungumza na wafanyakazi wa mkoa wa Njombe kilichofanyika leo mjini Njombe. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoawa Ruvuma Verena Shumbusho na kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Njombe Osea Mbagike

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages