Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akiwasalimia baadhi ya viongozi
baada ya kuwasili Ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa matawi na Kata katika wilaya
ya Dodoma mjini. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya hiyo, Paulo
Luhamo na Katikati ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Salum Kalli.
Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Salum Kalli akizungumza maneno ya utangulizi kabla ya kuanza kikao hicho
Makatibu
wa matawi na Kata za wilaya ya Dodoma mjini, wakiwa tayari ukumbini
kuzungumzana Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi katika Ukumbi
wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi (wapili kulia) akiwasili katika
ukumbi wa Sekretarieti katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM, mjini
Dodoma, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa matawi na
Kata katika wilaya ya Dodoma mjini. Kulia ni Katibu wa CCM wa mkoa wa
Dodoma, Jamila Yusuph.
Katibu
wa CCM wilaya ya Dodoma mjini akihamasisha, baada ya Luhwavi (katikati)
kuwasili ukumbini. kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Dodoma Jamila Yusuph
Wajumbe wakiwa ukumbini Katibu
wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini Paulo Luhamo akimkaribisha Katibu wa CCM
mkoa wa Dodoma ili kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu kuzungumza katika
kikao hicho
Katibu wa CCM mkoa wa Dodoma akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) kuzungumza katika kikao hicho
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akizungumza na Makatibu wa CCM
wa matawi na Kata katika wilaya ya Dodoma mjini, katika Ukumbi wa
Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, Kulia
kwake ni Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Dodoma mjini, Paulo Luhamo
Maofisa waandamizi wa Chama wakifuatilia kwa karibu kikao hicho
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akizungumza na Makatibu wa CCM
wa matawi na Kata katika wilaya ya Dodoma mjini, katika Ukumbi wa
Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Baadhi
ya wajumbe wakitoa yao ya moyoni kuhusu kero au changamoto wanazoziona
katika utumishi wa Chama. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269