Breaking News

Your Ad Spot

May 25, 2016

KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI ILIYOFUNGULIWA MAHAKAMA KUU NA ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABBAS MTEMVU KUSIKILIZWA JUNI 13 MWAKA HUU

Kesi ya Uchaguzi 2015  ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (Pichani) kuanza kusikilizwa 13 Juni mwaka huu, kwa mfululizo katika Mahakama Kuu ya Tanzania hadi kumalizika. (PICHA NA MAKTABA YA UJIJIRAHAA BLOG)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages