Breaking News

Your Ad Spot

May 5, 2016

KESI YA ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TEMEKE KWA TIKETI YA CCM ABBAS MTEMVU DHIDI YA MTOLEA KUANZA KUSIKILIZWA MEI 12

 Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Temeke na Mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Abbas Mtemvu akitoka nje ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam, akiwa na wafuasi wake baada ya kesi yake dhidi ya Mbunge wa sasa wa jimbo hilo ya kupinga matokeo, kupangiwa Tarehe ya kusikilizwa kesi ambayo ni Mei 12, mwaka huu.. 
 Mtemvu akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania akiwa na wafuasi wake mara baada ya kupangiwa Tarehe ya kusikilizwa kwa kesi hiyo
  Mtemvu akitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania akiwa na wafuasi wake mara baada ya kupangiwa Tarehe ya kusikilizwa kwa kesi hiyo
 Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Miburani, Temeke, Ally Kamtande, akizungumza na wafuasi wa aliekua Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu wakati akitoka Mahakama Kuu. 
Mtemvu analalamikia matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi mbunge wa sasa, Abadallah Mtolea. Kwenye kesi hiyo Mtemvu amewahusisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke na wengine waliokuwa wakisimamia uchaguzi katika manispaa hiyo. PICHA ZOTE NA UJIJI RAHAA BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages