Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya
586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha
kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.

Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 586 wa jeshi la Wananchi
wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha Mafunzo ya kijeshi cha
Monduli TMA mkoani Arusha
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akimpongeza Afisa Mpya wa cheo cha Luteni Usu, Nasra Rashid
ambaye alifanya vizuri zaidi kuliko Maafisa Wanafunzi wanawake katika
chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya wananchi General
Davis Mwamunyange mara baada ya kuwasili kwenye chuo cha Mafunzo Kijeshi
cha Monduli TMA mkoani Arusha.
Maafisa
Wanafunzi wakipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli kabla
ya kutuniwa Kamisheni
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha
Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter Massao kabla ya kutunuku Kamisheni
kwa Maafisa Wapya 586 katika chuo hicho cha Monduli.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wapya
aliowatunuku Kamisheni katika cha Mafunzo Kijeshi cha Monduli TMA mkoani
Arusha. Wengine katika picha ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya wananchi
Jeneral Davis Mwamunyange , Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha
Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter Massao, Waziri wa Ulinzi Dkt.
Hussein Mwinyi pamoja na Maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi wa Ngarenaro waliomsimamisha wakati
akitokea kwenye chuo cha Mafunzo ya Kijenshi cha Monduli mkoani Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akitembea kikakamavu mara baada ya kutoka kukagua gwaride
katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanaanchi wa kona ya
Mbauda mkoani Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis
Mwamunyange katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli mara baada ya
kutazama picha za Majenerali wastaafu waliongoza Jeshi la Wananchi
katika miaka ya nyuma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri
Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa majeshi
ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi
cha Monduli mara baada ya kutazama picha za Majenerali wastaafu
waliongoza Jeshi la Wananchi katika miaka ya nyuma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wakazi wa Kona ya Nairobi eneo la Arusha Tech
mara baada ya kutoka kutunuku Kamisheni kwa maafisa Wapya katika Chuo
cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli mkoani Arusha. PICHA NA IKULU
…………………………………………………………………………………………………..
Na Mahmoud Ahmad,Monduli
Amiri jeshi mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amewatunuku
Kamisheni wahitimu wapatoa 586 kutoka Chuo cha Kijeshi TMA kilichopo
Monduli Mkoani Arusha.
Raisi dkta jpm ambaye hii ni
mara ya pili kuwatunuku maofisa hao wakijeshi katika chuo hicho cha
kijeshi aliweza kuwapa zawadi mbalimbali kwa wale waliofanya vizuri
katika mafunzo yao.
Aidha Raisi Magufuli
alifurahiswa na kitendo cha Askari wanawake wapatao 6 miongoni mwa
wahitimu 586 waliopata fursa ya kutunukiwa vyeo na kuibua shangwe na
nderemo kwa wageni waliohudhuria Kamisheni hiyo
“Leo nimewatunuku vyeo vya kuwa
watumishi katika Jeshi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nafasi
hiyo naomba Mungu awasaidie’’alisema Raisi wakati akiwatunuku
Kwa upande wake Mkuu wa Chuo
hicho cha kijeshi TMA Meja Jenerali Paul Masau akitoa taarifa fupi juu
ya mafunzo ya wahitimu hao mbele ya Rais Magufuli kuwa wahitimu wote
waliohitimu mafunzo hayo ni Raia wa Tanzania.
Aliongeza kuwa kati ya wahitimu
hao kuna marubani ,Madaktari,na wengi wao ni wahitimu wa kidato cha
sita katika masomo ya Sayansi ambao watakuja kuongeza ufanisi kwa
utendaji kazi katika jeshi kwa siku za usoni ili jeshi hilo liende
kisasa zaidi.
‘’Miongoni mwa wahitimu wapo
madaktari 80, marubani 6 wa ndege,huku 500 ni vijana ambao wamehitimu
kidato cha sita katika masomo ya Sayansi na kufaulu vizuri ambao
watasaidia katika kulijenga zaidi jeshi letu kwa siku za usoni’’alisema
Meja Jenerali Masau.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269