Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu
Sayansi na Teknolojia Dk.Lenard Akwilapo akikabidhiwa picha na
Mwakilishi Makazi wa Shirika la KAS, Daniel El-Noshokaty ya waasisi wa
ushirikiano kati ya Tanzania na Shirika lisilo la Konrad Adenauer
Stiftung (KAS) la nchini Ujerumani, Hayati Mwalimu Julius Nyerere
(kushoto pichani) na Konrad Adenauer (kulia), wakati wa Kongamano la la
kitaifa na kimataifa lililokuwa na mada yake kuu uadilifu wa viongozi na
utawala bora katika usimamizi wa maliasili kwa ajili ya maendeleo
endelevu ya Tanzania lililofanyija katika Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam juzi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Philip Mangula akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Taswira katika ukumbi wakati wa kongamano hilo.
Mhadhiri wa C
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269