.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AFUNGUA MKUTANO 4 WA MWAKA WA CHUO KIKUU CHA SAYANSI YA AFYA MUHIMBILI

Jun 23, 2016

 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


 Baadhi ya Wasomi wakimsikiliza Makamu wa Rais. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS)uliofanyika  jijini Dar es salaam.  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kufungua mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) uliofanyika  jijini Dar es salaam.


makamu mkuu wa chuo cha Sayansi na Tiba Muhimbili (Muhas) Profesa Ephata Kaaya akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo)
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba mara baada ya kufungua  mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) uliofanyika leo Dar es salaam

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª