Rais Dk. John Magufuli akimwapisha kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mh. Mwigulu Nchemba mara baada ya kumuapisha Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Kilimo,Mifugo na
Uvuvi Dkt. Charles Tizeba akila kiapo mbele ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Leo Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Kilimo,Mifugo na
Uvuvi Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba wakipongezana mara baada ya kuapishwa Leo
Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Magufuli akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu
Nchemba mara baada ya kumuapisha Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Magufuli akimpongeza Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi
Dkt. Charles Tizeba mara baada ya kumuapisha Leo Ikulu Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba (kulia) na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba mara baada ya kuwaapisha Leo Ikulu Jijini Dar
es Salaam. PICHA ZOTE NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269