Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Jaji Shaaban Ali Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, leo, Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali kuwa Jaji Kiongozi, Ikulu
Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimpongeza Jaji Shaaban Ali Lila mara baada ya kumuapisha kuwa
Jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama ya Rufani Jaji Shaaban Ali
Lila(kushoto) pamoja na Jaji Kiongozi Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali (kulia)mara
baada ya tukio la uapisho lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama ya Rufani Jaji Shaaban Ali
Lila(kushoto) pamoja na Jaji kiongozi Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali,
wengine katika picha ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa na Jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othmani mara baada ya tukio la
uapisho wa Majaji hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama ya Rufani Jaji Shaaban Ali
Lila(kushoto) pamoja na Jaji kiongozi Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali,
wengine katika picha ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa na Jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othmani pamoja na Majaji
mbalimbali wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Balozi wa Oman hapa nchini Soud Al Ruqaishi ambaye anamaliza
muda wake wa kufanya kazi hapa nchini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waandishi wa Habari waliofika Ikulu kwa ajili ya tukio la uapisho
wa Jaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Jaji Kiongozi Ikulu jijini Dar es
Salaam. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269