
MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya
Dares Salaam, yanayoandaliwa na Mamlaka ya Uendelezaji Biashara
Tanzania, (TANTRADE), kwa mwaka huu wa 2016, yanatarajiwa kuanza rasmi,
Jumanne Juni 28, 2016 kwenye viwanja vya Julius Nyerere, barabara ya
Kilwa, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam. K-VIS BLOG imeshuhudia
waonyeshaji bidhaa kwenye mabanda mbalimbali wakiendelea na hatua za
mwisho za kuandaa mabanda yao kama ambavyo pichahizi zinavyoonesha leo
Juni 27, 2017. Rais wa Rwanda Mh. Paul Kagame anatarajiwa kuyazindua
maonyesho hayo. (PICHA NA K-VIS MEDIA)




No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269