Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiwa na watoto wadogo kuliko wote
walioshiriki katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa kwenye
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.Watoto hao ni
Abuzar Kholidi wa Tajikistan (Kulia) na Ahmad Abdullah Al-Azhar wa wa
Bangladesh. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI
MKUU)
Waziri Mkuu, Kasim
Majaliwa akisalimiana na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery bin
Ally baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kuhitimisha
Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa Juni 26, 2016. Katikati ni
Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhadi Mussa Salum
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Happy
(katikati), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Mohammed
Mpinga (kushoto), na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan
Madabida, wakiwa miongoni mwa waislamu waliohudhuria mashindano hayo ya
kujifadhi Quran Tukufu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam
Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya
Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa
wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dar es salaam Juni 26, 2016

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiagana na baadhi ya waumini wa Kiislamu
walioshiriki katika hitimisho la Mashindano ya Kuhufadhi Qur'an Tukufu ya
Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam baada
ya kuhitimisha mashindano hayo Juni 26, 2016
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu
ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi
Qur'an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaam
Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya
Kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa
wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dar es salaam Juni 26, 2016
Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, (kulia) na Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269