Breaking News

Your Ad Spot

Jul 7, 2016

MADEE: DOGO JANJA AMEANZA KUNG'AA AKIMATAIFA

Madee2
Madee
BONIPHACE NGUMIJE
MKALI wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ ameweka wazi mipango ya msanii wake, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ kuwa tayari ameshaanza kung’aa kimataifa.
Janjaro2_Noiz
Dogo Janja
Akilonga na mtandao wa Global Publishers, Madee alisema kuwa kwa sasa Dogo Janja anatamba na remix ya Wimbo wa My Life aliowashirikisha wakali kutoka Uganda, Radio na Weasel na kufanya hivyo njia zinaonekana kuwa wazi.
“Natarajia kumuona Janja kwenye levo nyingine baada ya kuibuka na remix ya My Life. Kwa sasa atatoka na Ngoma ya Kidede iliyofanyika MJ Records na video kushutiwa na Hanscana. Naimani njia yake itaendelea kuwa nyeupe kimataifa,” alisema Madee.GPL(P.T)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages