Rais
mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki (pichani kulia)
akiwasili leo jijini Dar Es Salaam akiwa na Mwenyeji wake Afisa Mtendaji
Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja,kuhudhuria Mkutano
Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 utakoanza kesho hapa jijini Dar Es Salaam
katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.Mkutano huo utakaodumu kwa siku mbili utawajumuisha wadau mbalimbali.PICHA NA MICHUZI JR.MMG.
Raisi
mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki akisalimiana na Balozi
wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mh. Thamsanga Dennis Msekelu baada ya
kuwasili jijini Dar Es Salaam kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uongozi wa
mwaka 2016 utakoanza kesho hapa jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro wa siku mbili.Pichani kati ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja .
Raisi
mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki akizungumza na Balozi
wa Afrika Kusini nchini Tanzania Thamsanga Dennis Msekelu baada ya
kuwasili jijini Dar Es Salaam kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uongozi wa
mwaka 2016 utakoanza kesho hapa jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro.
Rais
mstaafu wa Msumbiji, Armando Emilio Guebuza akikaribishwa na baadhi ya
wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI mara baada ya kuwasili jijini Dar Es
Salaam kuhudhuria mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 unaotarajiwa
kuanza hapo kesho jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro kwa siku mbili.
Rais
mstaafu wa Msumbiji, Armando Emilio Guebuza akikaribishwa na baadhi ya
wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI mara baada ya kuwasili jioni ya leo
jijini Dar Es Salaam kuhudhuria mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016
unaotarajiwa kuanza hapo kesho jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro kwa siku mbili.
Rais
Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano akikaribishwa na baadhi ya
wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI mara baada ya kuwasili jijini Dar Es
Salaam jioni ya leo kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 wa
siku mbili,utakoanza hapo kesho jijini Dar Es Salaam katika Hoteli
ya Hyatt Kilimanjaro.Pichani shoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
UONGOZI Profesa Joseph Semboja .
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269