.

BREAKING NEWZZZ….ASKARI WAWILI WAUWAWA USIKU HUU MBAGALA

Aug 23, 2016

Moja ya stori zinazosambaa kupitia mitandao ya kijamii usiku huu wa August 23 2016 ni pamoja na hii inayodaiwa kuuawa kwa askari polisi wawili kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la Mbande, Mbagala.
kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro ambaye amesema…>>’Ni kweli kumetokea tukio la uvamizi hapa mbagala lakini kwa taarifa kamili ntazitoa kesho kwakuwa bado nipo eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª