Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao ya ushindi wa tatu katika kundi
la Tasisi na Mashirika ya serikali na yasiyo ya serikali, Ofisa Mtendaji
Mkuu wa Mpango wa Uendelezaji Kilimo katika Eneo la Ukanda wa kusini
mwa Tanzania (SAGCOT), Geofrey Kirenga wakati alipofunga Maonyesho ya
Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti
8, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos makalla na wapili
kulia kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. Kulia ni
Mwenyekiti wa TASO wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Crispin
Mtono.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Aug 8, 2016
Home
Unlabelled
MAJALIWA ATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA NANE NANE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
MAJALIWA ATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA NANE NANE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269