.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AMJULIA HALI MTOTO WA MTANGAZAJI WA CLOUDS TV

Aug 30, 2016

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akimjulia hali mwanafunzi wa Darasa la nne wa Shule ya Msingi ya Mount Kibo ya Mbezi Beach ya Jijini Dar es Salaam, David Kamoga , anayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba, Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Baada ya kujeruhiwa kwa kugongwa  na Gari aina ya Hiace eneo la Tegeta Namanga, kulia ni baba wa mtoto huyo, Hudson Kamoga. 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª