Na
Sheila Simba
Sheila Simba
Msanii
wa muziki kutoka nchini Nigeria Omo Alhaji,Jagabana maarufu YCEE,ametoa msaada
wa shilling million 1,kwa kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira
magumu cha Kigamboni Community Center(KCC).

Akizungumza
katika ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo leo jijini Dar es salaam mratibu wa
ujio wa msanii huyo bi Salha Kibwana amesema kuwa msanii YCEE ametoa msaaada
huo katika kituo hicho kwa lengo la kusaidia watoto hao ili kujipatia mahitaji
maalum ya kila siku wawapo kituoni hapo.

“Ametoa
msaada huo kutokana na faaida anayopata katika kazi zake usanii ili kukuza
vipaji na kujenga upatikanaji wa elimu wa elimu kwa jamii hasa ya watoto
wanaoishi katika mazingira hatarishi,”alisema Salha

baada ya kupokea msaada huo Mkurugenzi wa kituo hicho Mbwana Msangule,amesema
kuwa kituo chake kinalea watoto hao ili kuwasaidia kuondokana na maisha magumu
yanayowakabili.

“msaada
huu utasaidia sana kwasababu kituo kina watoto 14 wanaoishi kituoni hapo na
wengine wanakuja na kurudi makwao,na nashukuru sana kwa msaada huu kwani ni
sanii wa kwanza kutoka msaada,nawaomba
pia wasanii wa ndani kijitokeza kutoa msaada”alisema Mbwana

Kwa
upande msanii huyo amesema kuwa amekuja kutembelea Tanzania ili kujifunza na
kuonana na wasanii wengine wakubwa wa Tanzania huku akiwataja Diamond na Ali
Kiba,ameongeza kuwa amefurahi pia kuktana na mashabiki wake ambao amekua
wakichati kupitia mitanzandao ya kijamii.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269