Kikosi cha Simba FC , (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Kikosi cha URA
Mgosi, mwenye mpira akiwatoka wachezaji
wa URA kwenye pambano la soka la kirafiki kwenye uwanja wa taifa jijini
Dar es Salaam
Familia ya Mgosi wakimpigia makofi baada ya kucheza mpira kwa Dakikia
chache na kukimbia uwanjani hapo kwa kuwashukuru wadau akiwa na mtoto
wake Naifati Mussa Mgosi, kuanzia kulia ni mtoto wa kwanza wa Mgosi,
Hassani Mgosi, mkewa wa Mgosi, Jasmin Mgosi na Amina Bakari
Mgosi akiwa na mtoto, Naifati akiwa amempakata, kulia ni Naylaty na Naylaty Mgosi
Ibrahim Ajibu (mbele) akiwatoka mabeki wa URA, kushoto ni Sekito Sam, anaye fatia nyuma ya Sekito ni Kagimu ShafiQ wa URA
Wanahabari kazini
Wanahabari kila Mmoja akitakacho
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269