Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi
Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin
Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin wakwanza kushoto.(Katikati ni mkalimani)
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin akimuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuchangia madawati kwa kutoa hundi yenye
thamni ya dola za Kimarekani (USD 53,000) kwa ajili ya utengenezwaji wa
madawati.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuchangia madawati kwa kutoa hundi yenye
thamni ya dola za Kimarekani (USD 53,000) kwa ajili ya utengeezwaji wa
madawati. Wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar
Zubeir watatu kutoka kushoto na Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhadi
Mussa Salum wa kwanza kushoto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar
Zubeir, Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga pamoja na viongozi
wengine wa BAKWATA na wa madhehebu ya Bohora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Aboubakar Zubeir pamoja na viongozi wengine wa Madhehebu ya Bohora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin kabla ya kuondoka Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal
Saifuddin mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ikulu jijini
Dar es Salaam mara baada ya kuagana na
mgeni wake Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe uliotoka
kwa Rais wa Saharawi na kuwasilishwa kwake na Mjumbe Maalum Bachir Moustapha
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269