Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu John Samuel Malecela ambaye anapata matibabu
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mama Janneth Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
kwa furaha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara
baada ya kuwasili nyumbani kwake Sala sala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara
baada ya kuwasili nyumbani kwake Sala sala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Spika Sala sala jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269