.

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA MKUU MPYA WA MKOA WA ARUSHA, MRISHO GAMBO

Aug 19, 2016

Rais John Pombe Magufuli, akimuapisha Mkuu mpya wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 19, 2016. Bw. Gambo ambaye awali alikuwa mkuu wa wilaya ya Arusha, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mtangulizi wake, Felix, Ntibenda Kijiko, ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na Rais. (PICHA NA IKULU)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช