.

RIDHIWANI:KUSEMWA SANA KUMENIFUNDISHA MENGI KATIKA MAISHA

Aug 3, 2016

Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete amesema kuwa  kusemwa sana kumemfanya ajue ni namna gani anatakiwa kuishi kwa watanzania wanapenda kusema na kutaka ufanye wasichojua.msikilize katika mahojiano katika kipindi cha Hello Tz Uhuru Fm.


Sikiliza mahojiano ya Ridhiwani katika kipindi cha Hello Tz

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª