.

SHINDANO LA MISS ILALA 2016 LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Aug 19, 2016

Warembo wanaowania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika hafla maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo. Shindano hilo limezinduliwa sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya Miss Ilala tangu ianze mwaka 1996. PICHA ZAIDI >>GONGA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช