.

SIMBA YAMENYANA VIKALI NA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Aug 27, 2016

 Shiza Kichuya wa Simba (kushoto), akijaribu kuwatoka walinzi wa JKT-Ruvu kwenye pambano la soka ligi kuu ya Tanzania Bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 27, 2016. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana. (PICHA NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID)
 Frederick Blagnon (kushoto) wa Simba, akiwania mpira na Rahim Juma wa Ruvu JKT kwenye pambano hilo
 Mlinzi wa kati wa Ruvu JKT, "akiosha" mpira mbele ya washambualiaji hatari wa Simba, Laudit Mvugo (kushoto) na Ibrahim Ajib
 Kipa wa Ruvu JKT, Michael Aidan, akiukamata mpira huo mbele ya mklinzi wake
 Moja ya mipira hatari iliyoelekezwa kwenye lango la Ruvu JKT


 Laudit Mavugo, (kushoto), wa Simba, akichuana vikali na mlinzi wa JKT Ruvu, kwenye pambano la soka ligi kuu ya Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jioni hii Agosti 27, 2016. Timu hizo zimekwenda sare ya bila kufungana. (PICHA NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID)
 Mshambuliaji wa Simba, Frederick Blagnon, akichupa kupiga kichwa mpira wa kross kwenye llango la JKT Ruvu kwenye pambano la soka ligi kuu ya Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 27, 2016. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana
 Kikosi cha Simba kilichomenyana na JKT-Ruvu jioni hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Kikosi cha Ruvu- JKT, kilichomenyana na Simba kwenye pambano la ligi kuu soka Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kutoka sare ya bila kufungana.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª