Breaking News

Your Ad Spot

Aug 4, 2016

TANZANIA WORLDWIDE DIJS (TWD) YAKUTANA EXCAPE ONE MIKOCHENI KATIKA KIKAO CHA KUUNDA KATIBA

Kikao cha Tanzania Worldwide Djs (TWD) kilichofanyika siku ya Jumatano Aug 3, 2016  Excape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuunda katika ya chama hicho cha madj kwa lengo la kukipatia usajili ili kiweze kutambuliwa rasmi. TWD kina Madj wote wakongwe waliopo pote Duniani waliotamba enzi hizo kwenye kumbi mbalimbali za disco Tanzania.
Dj John Peter Pantalakis akichangia jambo.
Kikao kikiendelea.
Kushoto ni Dj Sweet Francis akionyesha jambo kwa Dj Mr. A katika kikao cha TWD kilichofanyika Excape One Mikocheni jijini Dar es Salaam, siku ya Jumatano Aug 3, 2016.
Kikao cha TWD kikiendelea.
Dj Peter Moe akichangia jambo.
Dj Ebony M nae akichangia jambo.
Dj Godfather akitilia mkazo jambo.huku kulia ni Dj John Peter Pantalakis akimsikiliza.
Madj waliohudhurika kikao cha TWD Dj John Peter Pantalakis, Dj Sweet Francis, Dj Kishoka, Dj Mansweaty, Dj Godfather, Dj Peter Moe, Dj Saydou, Dj Young Ray, Dj Venture, Dj Seif Katunda, Dj Young Jesse na Dj Fast Eddy wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages