.

AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, RAIS JOHN MAGUFULI ATEMBELEA KIKOSI CHA ANGA, WAKATI JWTZ INAADHIMISHA MIAKA 52 TANGU LIANZISHWE

Sep 1, 2016

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  Jeneral Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza katika kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania  katika kikosi cha Usafirishaji wa anga (Air Wing) Ukonga jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya ndege za Kivita wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ zilizofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji wa anga  (Air Wing) Ukonga jijini Dar es Salaam.

Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha yapamoja na Wanajeshi wa JWTZ Kikosi cha Anga 603 KJ Majumba Sita Ukonga jijini Dar es salaam  alikotembelea kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi la Wananchi leo Septemba 1, 2016. (PICHA NA IKULU)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª