.

MATUKIO PICHANI

Sep 22, 2016

 Mlango unao daiwa niofisi ya Askari Polisi  na Askari  wa kampuni  ya Ulinzi ya SGA wanao linda Benk ya NBC maeneo ya Posta ya zamani Jijini Dar es Salaam
  Hapa  Askari wa kampuni  ya Ulinzi ya SGA kwa kushirikiana na Askari wa Jeshi  la Polisi wanao linda Benk ya NBC maeneo ya Posta ya zamani Jijini Dar es Salaam wakitoka nje na Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 662 BUK ambapo jina lake halikupatikana mara moja  wakiwa wamemshika na kumuingiza katika gari lililokuwa katika doria  baada ya kupigiwa simu na askari hao na kuondoka nae baada ya kile kinacho daiwa na mashuhuda wa tukio hili ni  kupaki enela la Benk na Dereva huyo kumuacha mwanamama katika gari na inadaiwa ni mke wa dereva huyo na kuhojiwa na askari kwa nini umepaki hapa? mara dereva aliporudi ndipo walijibishashana kwa kauli na kumuingiza katika ofisi hiyo na kuanza kumuhoji na kutokea mzozo mkubwa uliowafanya watu kutakakujuwa kinachoendelea na ndipo gari hilo lilifika na kuondoka naye huku dereva wa gari  T 662 BUK, alisikika akisema humpati mkewangu huku akirudia rudia hadi alipokuwa akiondoa alisisitiza neno hilo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª