Breaking News

Your Ad Spot

Sep 8, 2016

RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 17 WA DHARULA WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ndani  kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kuhudhuria mkutano wa 17 wa  dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam .
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Sudan ya Kusini muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat Mfumukeko muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Nyamitwe
muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mjumbi wa Burundi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akibadilishana mawili matatu na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla  kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
 Waziri wa Katiba na sheria Dkt Harrison Mwakyembe akiongea na Dkt Twaha Taslima wa Law Chambers kabla  kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto akiwasili tayari kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto akiwasili kabla ya kuanza  kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages