Breaking News

Your Ad Spot

Sep 6, 2016

RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MABWENI (HOSTEL) ZA WANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda kwenye gorofa ya kwanza katika  mojawapo ya mabweni yanayojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Septemba 6, 2016. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 3840 kwa wakati mmoja na yatakamilika Desemba mwaka huu 2016. (PICHA NA IKULU)



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kuhusu ujenzi wa mabweni hayo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo(TBA) Arch. Elius Mwakalinga, Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafuzi zaidi ya 3840.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi waojenga mabweni hayo kutoka kwa Wakala wa Majengo nchini TBA. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako, Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Elius Mwakalinga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Joseph Nyamhanga, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hamfrey Polepole.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia kwa furaha maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo unavyoendelea kwa kasi katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaa.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza  mara baada ya kukagua ujenzi wa mabweni katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages