 |
| Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Balozi
Mohamed Ramia Abdiwawa (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora
wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama
cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo
pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo Septemba 9, 2016. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR) |
 |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mkutano Mpango wa
Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM
mwaka 2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo |
Mwanasheria Mkuu wa
Zanzibar Mhe,Said Hassan Said (kulia) akiwa na Viongozi wengine wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora
katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama
cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo
pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269