Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Karume Pemba leo akitokea Unguja kwa ziara kikazi kisiwani humo akiwa na
ujumbe aliofuatana nao akiwemo Mama Mwanamwemma Shein
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na MkeweMama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali
wakati walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo kwa ziara maalum kisiwani humo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa KMKM Pemba wakati
alipofika katika kituo kikuu cha karafuu cha ZSTC Wete Pemba kuangalia
karafuu zilizokamatwa katika Bandari ya Tondooni Mkumbuu
Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba,alipofanya ziara maalum leo,(wa
pili kulia) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Bi.Amina Salum Ali
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mdhamini wa Wizara ya
Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Abdalla Ali Ussi (kushoto) alipotembelea
kituo kikuu cha karafuu cha ZSTC Wete Pemba kuangalia karafuu
zilizokamatwa katika Bandari ya Tondooni Mkumbuu Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba leo alipofanya ziara maalum
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko
Bi.Amina Salum Ali (katikati) wakati alipotembelea kituo kikuu cha
karafuu cha ZSTC Wete Pemba baada ya kuangalia karafuu zilizokamatwa
katika Bandari ya Tondooni Mkumbuu
Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi
kisiwani humo,(kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko
Nd,Bakari Haji Bakari
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
Rashid Ali Juma (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Uwanja wa Mpira
wa Gombani kuangalia matengenezo makubwa yaliyomalizika kwa utiaji wa
(Tatan) ambapo sasa Uwanja huo utaweza kutumika kwa shuhuli mbali mbali
za michezo ikiwemo Riadha,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269