Breaking News

Your Ad Spot

Sep 12, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA EID EL HAJ LEO, TEMEKE DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Sheikh Nurdin Kishiki   (kulia) baada ya  kuwasili kwenye  uwanja wa Mwembe Yanga , Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016 kushiriki  katika  Sala ya Iddi Alhaji .
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika  Sala ya Iddi El Haji iliyofanyika kwenye uwanja wa Mwembe Yanga jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016. Kushoto ni Sheikh Nurdin Kishiki na Kulia ni Sheikh Ponda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza katika  Sala ya Iddi El Haji  iliyofanyika kwenye uwanja wa Mwembe Yanga , Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages