Breaking News

Your Ad Spot

Oct 18, 2016

DKT. SHEIN AKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA ARDHI, MAJI, NISHATI NA MAZINGIRA IKULU MJINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja


Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali katika  Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages