Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akikikata utepe kuashiria kuzindia kitabu cha Pastoralism and Climate
Change in East Africa kwenye Tamasha la Mazingira na Mabadiliko ya Tabia
Nchi unaokutanisha wanasayansi, watafiti na wadau wa mazingira chini ya
Usimamizi wa Kigoda cha mwalimu Julius Nyerere cha Mazingira na
mabadiliko ya Tabia ya nchini katika ukumbi wa Nkurumah Hall, Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiongoza viongozi wengine kuonyesha juu kitabu cha Pastoralism and
Climate Change in East Africa kuashiria kimezinduliwa rasmi kwenye
Tamasha la Mazingira na Mabadiliko ya Tabia Nchi unaokutanisha
wanasayansi, watafiti na wadau wa mazingira chini ya Usimamizi wa Kigoda
cha mwalimu Julius Nyerere cha Mazingira na mabadiliko ya Tabia ya
nchini katika ukumbi wa Nkurumah Hall, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano kimataifa unaohusu mabadiliko ya
tabia ya nchi unaokutanisha wanasayansi, watafiti na wadau wa mazingira
chini ya Usimamizi wa Kigoda cha mwalimu Julius Nyerere cha Mazingira na
mabadiliko ya Tabia ya nchini katika ukumbi wa Nkurumah Hall, Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam.
Wajumbe
walihudhuria mkutano wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye
ufunguzi wa mkutano kimataifa unaohusu mabadiliko ya tabia ya nchi
unaokutanisha wanasayansi, watafiti na wadau wa mazingira chini ya
Usimamizi wa Kigoda cha mwalimu Julius Nyerere cha Mazingira na
mabadiliko ya Tabia ya nchini katika ukumbi wa Nkurumah Hall, Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwasili kwenye ukumbi wa Nkurumah Hall,tayari kufungua mkutano
kimataifa unaohusu mabadiliko ya tabia ya nchi unaokutanisha
wanasayansi, watafiti na wadau wa mazingira chini ya Usimamizi wa Kigoda
cha mwalimu Julius Nyerere cha Mazingira na mabadiliko ya Tabia ya
nchini katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269