Waziri
wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe akiwahutubia
wahitimu wa mafunzo ya ukakamavu ambao ni wahifadhi wa wanyama
pori kutoka TANAPA , Mamlaka ya Ngorongoro na TAWA mafunzo
yaliofanyika katika kituo cha Mlele Mkoa wa Katavi mafunzo hayo
yamewashirikisha wahitimu 69 na yalifungwa na Waziri wa
Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe ambapo alieleza
kuwa Serikali itaendelea kulinda maliasili kwa nguvu zote. Picha na Walter Mguluchuma
Waziri wa
Maliasili na Utalii Mh. Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati
alipokuwa akifunga mafunzo ya askari wanyamapori katika kituo cha Mlele
mkoani Katavi.
Waziri wa
Maliasili na utalii Prof Jumanne Maghembe akikagua gwarid la wahifadhi
wanyamapori kutoka TANAPA,TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro wakati
alipokuwa akifunga mafunzo hayo yaiyofanika katika kituo cha mafunzo
mlele Mkoani KATAVI.
.Paredi
ikipita mbele ya mgeni rasmi waziri wa utalii hayupo pichani wakati wa
kufunga mafunzo ya wahifadhi wanyama pori kutoka TANAPA,TAWA, na Mamlaka
ya Ngorongoro yaliyofanyika kituo cha Mafunzo Mlele Mkoani KATAVI.
Wahifadhi
wa Wanyama pori kutoka TANAPA , TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro
wakilenga shabaha kwa kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo
jana yaliyofungwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne
Maghembe katika kituo cha mafunzo cha Mlele Mkoani Katavi .
Wahifadhi
wa Wanyama pori kutoka TANAPA , TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro
wakilenga shabaha kwa kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo
jana yaliyofungwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne
Maghembe katika kituo cha mafunzo cha Mlele Mkoani Katavi.(P.T)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269