.

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WILSON MASILINGI, PHILIP MARMO PAMOJA NA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI GEORGE WAITARA, IKULU DAR ES SALAAM

Oct 13, 2016

 Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam,  Oktoba 12, 2016
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majesho Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016
 Rais Dk. John Pombe Magufuli, akiagana na  Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016
Rais Dk. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª