Breaking News

Your Ad Spot

Oct 4, 2016

TAASISI YA KUPAMBANA NA UMASIKINI TANZANIA YAVIWEZESHA VIKOBA 102


Afisa Msaidizi Kitengo cha madeni sugu na mwezeshaji mafunzo ya ujasiliamali, Abdallah Kavinga (kushoto) akizungumza na wadau hao wakati wa mkutano na wadau hao uliofanyika Kata ya 15 Dar es Salaam
Baadhi ya wadau walioshiriki katika Mkutano huo

Baadhi ya Wawezeshaji wa Zone mbalimbali  wakiratibu mabo mbalimbali




Hayo yamefanyika Temeke Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa naMwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT), Abbas Mtemvu alipokuwa akizungumza na wanachama wa vikundi vya vikoba 102 kwa lengo la ikiwa ni kuwainua na kuwasaidia katika hali za kimaisha  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages